Kwa Hali ya Sasa Kumekuwa na Blogs nyingi za Kiswahili ambazo mbali na kujitahidi kupata Akaunti za Adsense bado wanakabiliwa na Changamoto Kubwa ya Matangazo yao Kutooneka, Hii Inatokana na Google Adsense Kuto Support Lugha yetu ya Kiswahili katika Kuratibu Uonekanaji wa Matangazo katika Site Husika.

Leo Ntakupa Mbinu ambayo Itakufanya Ads ziendelee Kuonekana Japo Una Tumia Lugha ya Kiswahili katika Blog Yako. Kabla Hujaendelea Ni Vyema Ukpitia Makala Hii:- Madhara ya Kutumia Lugha ya Kiswahili kwenye Blog za Kujiingizia Kipato

Binafsi sio Mtaalam sana wa Mambo ya Codes, Ila nimekubali kujifunza na kujisomesha mtandaoni kwa kadri ya Uwezo wangu. So Ntakuomba Uridhike na hiki kidogo ntakachokupa leo nawe usisite kuitafuta elimu ya kujazia Sehemu Nyingine kwani ELIMU HAINA MWISHO.

Tukirudi katika Mada yetu, Hatua za Kufuata ili Matangazo yaweze Kutokea Katika Site za Lugha ya Kiswahili:-

1. Ingia kwenye Dashboard yako ya Blogger,
Nenda Mpaka kwenye Template, Click Customize Ili Ikupeleke kwenye Edit Css

Baada ya Hapo Nenda Kwenye Tab ya Advanced halafu Add CSS, Hapo Utaingiza Codes za Design Hii kisha Una Apply to Template Halafu Unarudi Kwenye Blogger Template Tena.
Weka Codes Hizi za Rangi Nyekundu hapo Juu
{   </script>  google_language = "en";</script>  
    <meta content='Engish' name='language'/> }

2. Hatua ya Pili 
Unaenda kwenye Blog Dashboard yake unaingia Template halafu Una Edit HTML, Ikifunguka Bonyeza CTRL+F (Amri ya Kutafuta) Ndani ya Kibox cha Kulia Juu kwenye Codes za HTML utaingiza Codes Hizi <head>   halafu Bonyeza Enter. Chini ya Head Utaingiza Codes Hizi Hapa { <meta content='Engish' name='language'/>  } Kisha Una Save.



Nia Na Madhumuni ni Kuilazimisha Site Yako Kwenye Meta Tags Iitambulishe Kama Ni Site.Blog inayotumia Lugha ya Kiingereza. N.B. Unaweza Ukaweka Mara nying hii Meta Tag kwenye Blog yako though Mimi nakushauri Usizidishe mara 3.

3. Hatua ya Tatu ni Kuandaa Page ya Privacy Policy.
Hapa Utaenda Kwenye Dashboard yako Kisha Utaingia Sehemu ya Pages, Uta Create Page ya Privacy Policy Kisha Utaandika Maneno angalau Paragraphs 4 kuhusiana na Site yako na Vile Ambavyo hautohusika n Comments mbaya kutoka kwako au Wasomoaji wako, Kisha Unai Publish.

Ukishai Publish Unaenda Kwenye Layout katika Dashboard yako Ili Uchague wapi Itakaa Hiyo Page ya Privacy Policy, Ingawa Ikakaa Juu Ni Bora Zaidi.

N.B Post za Nyuma kabla ya Kufanya Trick Hii zinaweza Zisioneshe Ads bali zitaanza Kuonesha zile zitakazokuja baada ya Trick Hii.

Kama Njia Hii Haitaleta Mafanikio Kwako, Ingia Kwenye Ku Edit HTML tena, Kisha Tafuta data:post.body, halafu tafuta Post Footer au Post Footer Line 1 Kisha Uingize yale maneno ya Privacy Policy Humo.

Thanks kwa Kuwa Nami, Kwa Maoni na Ushauri Usisite Kuwasiliana Nami. Please Sema Chochote Hapo Chini, Karibu Sana.


Zanzibar Trip, Tours and Safari Blog ni Blog iliyokita Kuelezea Utajiri wa Rasilimali zinazopatikana Huku Visiwani Zanzibar, Huku Ikiweka Malengo ya Kutoa Taarifa Zaidi kuhusiana na Masuala yote ya Utalii ndani ya Visiwa Hivyo.

Tembelea Blog Hiyo Hapa Chini

Zanzibar Trip, Tours and Safari

Zanzibar Online Blog ni Miongoni Mwa Blog za Awali Kutengenezwa nasi, Hii ni Blog yenye Muundo wa Directory kwa maana Inajumuisha zaidi ya Habari za Kawaida bali hufanya kazi kama chombo cha kuelekeza kuhusu Biashara, Huduma au Kampuni Fulani.

Ingia Hapa chini kuitazama.

ZANZIBAR ONLINE

Hii Ni Miongoni Mwa Site Mpya zinazokuwa kwa kasi na Kujipatia Wasomaji wengi kadri siku zinavyokwenda. Hii ni Site ya Entertainment na Gossip ambayo Ime Base zaidi hapa Tanzania Ikiandikwa Kwa Lugha ya Kiingereza. Kwa Zaidi waweza Itembelea Hapa Chini.

BONGO SHOWBIZ

Hii ni Site ya Kijana wa Kitanzania, Graduate katika Field ya Oil and Gas, anaitwa Hussein Boffu. Amedhamiria Kutoa Habari na Taarifa mbalimbali Kuhusiana na Oil na Gas na Fursa Zinazoikabili Tanzania hususan baada ya Uvumbuzi na Kuanzishwa kwa Miradi Tofauti Tofauti ya Sekta Hii.

Ingia Hapa Chini Kuisoma Zaidi.

TANZANIA PETROLEUM 

Hii Ni Miongoni mwa Blog/Website Inayosomwa sana Mkoani Shinyanga na Tanzania Nzima Kwa Ujumla, Site hii inamilikiwa na Mwandishi na Mtangazaji wa Radio Kahama FM, Faraji Mfinanga. Hii ni Miongoni mwa Site za Mwanzoni Kutengenezwa/Kurekebishwa Nasi.

Ingia Hapa Kuiangalia.

DUNIA KIGANJANI

Tupate Facebook

Pata Blog Fasta

Wasiliana Nasi Tukuwezeshe Kupata Blog nzuri na yenye Viwango Vya Ubora Unaoendana na Mazingira ya Sasa. Tupigie Simu au Tuma Email:- 0719 447 204, 0752 981 380 au tzbloggers@gmail.com

Contact Form

Name

Email *

Message *

2016 © Tanzania Bloggers