Habari za Leo Wakuu,

Hope Mpo Salama na Mnaendelea Vizuri na Mihangaiko ya Kila Siku ya Kujiletea Maendeleo. Leo Nimewaaletea PRODUCT nzuri sana kwa Bloggers kama mimi na Website Owners, Yes njia ya gharama nafuu zaidi ya kukuwezesha kupata LIKES za Facebook Page yako kwa AUDIENCE ya Tanzania, Kenya na Uganda kwa Bei Poa ya Tsh 10 Tu kwa Like Moja.

Hii ni sawa na Bure, kwa wale wenzangu na Mimi mnajua ni Ngumu kiasi gani ilivyo kupata LIKES za Kihalali za facebook, maana wastani wa Dola 1 ya Kimarekani hukuwezesha kupata wastani wa likes 9-36 kama campaign ya Tangazo lako likienda Vizuri, Otherwise unaweza ukajikuta Kila $0.10 inaishia kukupa Like 1 tu ya Facebook.

Mimi ni Mjasirialiamali nnayeendesha Maisha yangu kwa Kupitia Blogging na Ufugaji, Blogging ndo kila kitu kwangu, Mapema niligundua kuwepo kwa FURSA kupitia Google Adsense na Nikaitumia Vizuri, na Kuwafahamisha Wadau wengine Kuhusiana na Hilo. Leo Hii nimepata njia ya kutatua Kilio cha BLOGGERS Wengi, nacho ni TRAFFIC (Audience) ya Ku deliver contents zao na Hatimaye Wapate Pageviews nyingi na HELA za Google Adsense na Wadhamini wengine ZIPATIKANE.

Kwa Sasa Nimegundua Means ya Kukukuzia Page yako ya Face Book na Kuwapa Akaunti za Adsense wale Ambao bado Hawana Akaunti Hizo. Bei zangu ni Nafuu kuliko sehemu yoyote Duniani, Angalia Mchanganuo Ufuatao halafu Utachagua Package Gani Inakufaa:-

IDADI YA LIKESGHARAMA KWA TSHMUDA WA KUZIPATA(SIKU)
1,00010,000Siku 3
3,00030,000Siku 5
5,00050,000Siku 8
10,000100,000Siku 12
20,000200,000Siku 22
30,000300,000Siku 33
50,000500,000Siku 60
100,0001,000,000Siku 80

UTARATIBU WA MALIPO:-
Mimi Nipo Dar, Tandika Magorofani, Hapo ndipo Shughuli zangu nazifanyia, Mteja Unaweza Ukaja Hapa Tukaingia Mkataba wa Kisheria na Ukachagua Package Unayoihitaji. Then Kazi Ikaanza Mara Moja.

Kwa watu wa Mikoani Unaweza Ukamtuma Mtu Unaemuamini Akaja hapa kwa Niaba yako Ukipenda Unaweza Ukaniamini kwa kufanya 50% ya malipo mwanzo wa kazi nami ntakutumia contract na uthibitisho katika E Mail na tukawa tunawasiliana kadri kazi itakavyokuwa inaenda.

* Kwa wanaohitaji Akaunti za Adsense Tuwasiliane Nikuwezeshe Kuipata Akaunti yako kwa Bei Poa ya Tsh Elfu 35 Tu ndani ya Siku 5-7.

*TAHADHARI KWA BLOGGERS WEZI

Pia nichukue Fursa Hii Kuwa Taja Kwa Namba zao za Simu Bloggers hawa Ambao niliwaamini na Kuwapa Akaunti za Adsense wakanihakikishia kunilipa Mwisho wa Mwezi, Baada ya Kuwa U Admin wakaniremove na kujitamba, niliwaambia kuwa Mungu Yupo Upande wangu, nadhani wameona Kilichowakuta katika Akaunti Hizo..

Wezi hao ni SALUM BAYA.. 0756 245 496 na Mwenzake Jina sijamjua Anatumia namba 0682 012 183 na Email yake ni umapenzi@gmail.com.

kwa Maelezo zaidi unaweza nipata www.tanzaniabloggers.com  au simu namba 0719 447 204. Asanteni.

Habari Wapendwa Bloggers!!
Katika Article za Mwanzoni niligusia Kidogo kuhusiana na Google Adsense, Leo nawapa Mbinu za Kujisajili na Kuiendesha Akaunti yako ya Adsense kwa Faida. Siku za Nyuma jambo hili la kuwa na akaunti ya Adsense lilikuwa jepesi tu na Wajanja walioshtuka Mapema walifanikiwa Kutoka kimaisha kutokana na Hili.

Kwa Utaratibu wa Sasa ni Ngumu kufanikiwa kuipata Akaunti Mpya ya Adsense ikiwa hauna Content nyingi katika Blog yako na Content hizo zikiwa zina Lugha Ambayo inayokubalika na Google ambao ndio wamiliki wa Adsense. Kwa Ufupi tu jitahidi Blog yako iwe ina Post Angalau 30 za Kiingereza ili wasikukatalia kwa kigezo cha Unsufficient Content au Kigezo cha Unsupported Language.

Kingine cha Kuzingatia ni Umri/Muda gani Blog yako ilikuwa Hewani. Kwa sasa ni ngumu kwa Blog Mpya inayofunguliwa Leo Kupata Akaunti ya Adsense na Matangazo Kuonekana, Hii inamaanisha kwa sasa Adsense Wanahitaji Publishers wake wawe wavumilivu kidogo kabla ya Kukubaliwa na Kupewa Hizo Akaunti za Adsense.

*HILI Lisikukatishe Tamaa, Unaweza Ukasubiri Angalau Miezi Mitatu Huku Ukiandika Post za Kutosha kwenye Blog yako na Hatimaye By the Time unaomba Usajili wa Adsense Google Wakakupa Bila Shida Yoyoye.

Na Unapofanikiwa Kuipata Akaunti yako ya Adsense hakikisha haukinzani na Vigezo na Masharti yao..Kwa Lugha ya Kiiingereza Visome Hapa

JE UNGEPENDA KUIPATA AKAUNTI YAKO YA ADSENSE NDANI YA SIKU 5? Ni Maajabu lakini yawezekana Kuipata, Wasiliana Nasi Kujua Zaidi.

Najua Kwa Kiswahili hicho tumekilazimisha lakini hizi Sticky Widgets huwezesha mtu kuweka Codes za Adsense au Matangazo mengine na yakawa yanashuka kila unaposhusha na kupanda kila unapopandisha Page, kwa maana nyingine yatabaki kuonekana Labda Mtembeleaji Ayafunge.

JINSI YA KUYAWEKA

Hapa Nimekuwekea Codes Rahisi sana ambazo Utaziingiza kwenye Dashboard yako-Add a Gadget na Kisha HTML/Javascript. Cha Muhimu ni kuhakikisha Unabadilisha Codes Hizo za Rangi ya Kijani kwa HTML code za Adsense au Matangazo yako Mengine. Codes ni Hizi hapa:-

<!-- FOOTER ADS -->
<script src='http://ajax.googleapis.com/ajax/libs/jquery/1.4.2/jquery.min.js' type='text/javascript'>
</script><br />
<script type='text/javascript'>
$(document).ready(function() {
$('img#closed').click(function(){
$('#btm_banner').hide(90);
});
});
</script>
<style type='text/css'>
div#btm_banner {
bottom: 0;
position: fixed;
width: 100%;
opacity: 0.9;
left: 0;
}
div#btm_banner img{
border:0;
cursor:pointer;
}
</style>
<div style='height: 0px;'></div>
<div align='center' id='btm_banner' style='height: 67px; z-index: 9999;'>
<div style='text-align: right; width: 983px; height: 15px;'>
</div>
<div style='clear: both;'></div>
<p>
<p><center>
<!-- ADVERTISING CODE -->


<script async src="//pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js"></script>
<!-- new banner -->
<ins class="adsbygoogle"
     style="display:inline-block;width:468px;height:60px"
     data-ad-client="ca-pub-8545998126994274"
     data-ad-slot="5648598542"></ins>
<script>
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
</script>


<!-- ADVERTISING CODE -->
</center></p>
</p>
</div>
<!-- FOOTER ADS -->






Bila shaka ungependa Watembeleaji wazidi kubaki katika Blog kwa kuwa wanavutiwa na kile wanachokiona, Yes, kwa Blogger mpya inawezekana ikawa ni ngumu kwako kuanza kuifumua Template yako na Kuanza Kuedit Codes za HTML kwa ndani hasa Mwanzoni. Hilo lisikuvunje moyo kwani Mbele ya Safari Utaweza Kuyafanya haya yote na zaidi kwa kutumia Editing ya hizo hizo HTML Codes.


Kwa sasa Nakusogezea Njia Rahisi zaidi ya Kuwa na Related Posts chini ya Post zako, aidha kwa ndani au nje kwenye Ukurasa wa kwanza. Ukijiunga na Kujisajili na Sites Hizi Automatically watakuwekea Widget yao katika Dashboard yako ya Blogger Hivyo kuwa Rahisi kwako kwani Related Posts zitakuwa zikijionesha zenyewe kwa Urahisi na Hivyo kuwafanya Watembeleaji wako wazidi kubaki.

Jiunge na Website Zifuatazo ili Iwe rahisi kupata Related Posts Widget katika Blog Yako:-

1. Link Within
Hii ni ya muda mrefu kidogo lakini ni nyepesi zaidi na inafanya kazi nzuri tu mpaka leo, ingawa kuna malalamiko ya kusababisha site kuwa nzito kidogo kwani Related Post servers zinabaki kwao hivyo huchukua sekunde 3 hadi 7 kwa Post kuwa Related maana inabidi servers ziwe consulted.








linkwithin form

 Hapa Utapelekwa Kwenye Ukurasa wa Kuchagua Blog gani unahitaji iwe na hii widget, chagua blog unayoitaka ikiwa zipo zaidi ya moja.

 install widget

select blog
 Hatimaye, Block jipya litaundwa kwenye Layout ya Dash Board yako, Ichukue/Ibebe Mpaka Chini Kabisa, waweza ibadili Jina na Kisha Ukaisave. Itachukua Muda Kidogo Lakini Itakuwa Tayari na Ingawa Mwanzoni huanza kuonesha Top Popular Post lakini baadae huleta related posts hata za miaka 5 iliyopita.

 drag under posts


2. Out Brain
Ukishatua katika Ukarasa wao, utapata Option ya Kuchagua Hizo stories zako zionekane kwa mfumo gani, wa maandishi tu au wa maandishi na picha?
text or thumbnail
Baada ya hapo itakubidi Uchague Platform ya Blog kama kwenye Linkwithin..
choose platform










Baada ya Hapo Utajaza Details zako kwenye Form ya hapo chini kisha utabonyeza INSTALL

 complete registration
















Hakikisha ukiwa unafanya haya yote huku ukiwa Ume Log in kwenye akaunti yako ya Blogger ili kitapokuja ki Pop Out box uendelee kwenye Blogger Dashboard kirahisi. Hapa pia utachagua Blog unayopenda iwe na hii widget kama zipo nyingi na kisha utabonyeza ADD WIDGET 



add outbrain widget


 Utakapomaliza Uta save na kusubiri dakika au masaa kadhaa ili ianze kufanya kazi kwa ufanisi, kumbuka kuishusha chini pia.




 save outbrain arrangement



Kwa sasa niishie hapa, karibu kwa maoni na Ushauri














 





Miongoni mwa Widget ya Muhimu kuwa nayo kwenye Blog yako nii ya Page Numbers, Hii humfanya Anayetembelea kuamua ni Page gani hasa Anahitaji kuangalia kiurahisi na pia kuzidi kubaki katika Blog yako.

Hapa chini nimekuwekea CODES Mbili za kuweka, Upendavyo aidha utatumia Code ya Kwanza Au ya Pili.

JINSI YA KUWEKA
Jinsi ya Kuweka ni Rahisi, Utaingia kwenye Dashboard yako, Utaingia Layout Kisha Uta Add a Gadget Then Uta Add HTML/Javascript ambayo ndani uta paste Codes miongoni mwa hizo mbili, Usiipe jina lolote na Ukiiweka kwa chini itakuwa Vizuri zaidi.

CODES ZA KWANZA

<style type='text/css'>
#blog-pager{height: 28px;
    padding: 10px 0 0;
overflow:hidden;
text-align:center;
}
.showpageArea a {text-decoration:underline;
font-size: 16px;
       text-align: center;}
.showpageNum a {font-size:16px;text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;margin:0 5px;padding:5px;}
.showpageNum a:hover {border: 1px solid #cccccc;background-color:#cccccc;}

.showpagePoint {font-size:16px;text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;background: #216FD9;margin:0 5px;padding:5px;color:#ffffff;}

.showpageOf {text-decoration:none;padding:5px;margin: 0 5px;}
.showpage a {text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;padding:5px;}
.showpage a:hover {text-decoration:none;background: #cccccc;}
.showpageNum a:link,.showpage a:link {text-decoration:none;color:#333333;}</style>
<script style='text/javascript'>var pageCount=7;
var displayPageNum=5;var upPageWord="Previous";var downPageWord="Next";</script><a href="http://www.netoopsblog.com" style="font-size:0pt">Blogger Widgets</a>
<script style='text/javascript' src='http://netoopscodes.googlecode.com/svn/netoops-page-nav-v2.js'></script> 


CODES ZA PILI 
 <style type='text/css'>
#blog-pager{height: 28px;
    padding: 10px 0 0;
overflow:hidden;
text-align:center;
}
.showpageArea a {text-decoration:underline;
font-size: 16px;
       text-align: center;}
.showpageNum a {font-size:16px;text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;margin:0 5px;padding:5px;}
.showpageNum a:hover {border: 1px solid #cccccc;background-color:#cccccc;}

.showpagePoint {font-size:16px;text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;background: #216FD9;margin:0 5px;padding:5px;color:#ffffff;}

.showpageOf {text-decoration:none;padding:5px;margin: 0 5px;}
.showpage a {text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;padding:5px;}
.showpage a:hover {text-decoration:none;background: #cccccc;}
.showpageNum a:link,.showpage a:link {text-decoration:none;color:#333333;}</style>
<script style='text/javascript'>var pageCount=7;
var displayPageNum=5;var upPageWord="Previous";var downPageWord="Next";</script><a href="http://www.netoopsblog.com" style="font-size:0pt">Blogger Widgets</a>
<script style='text/javascript' src='http://netoopscodes.googlecode.com/svn/netoops-page-nav-v2.js'></script>


Uta Save na Ku angalia Changes.... Kila la Heri. 

Blogging imeanza kuwa kimbilio ya vijana wengi wa kizazi kipya baada ya kugundua Fursa hii ambapo kuna uwezekano mkubwa wa Mtu kujiendeshea Maisha kwa kupitia Hili. Miaka ya nyuma hili halikufikirika kwa Tanzania yetu, ila kwa nchi za wenzetu hasa Ulaya na Africa Magharibi waliliona hili Kitambo.

Miongoni mwa sababu kubwa inayowapelea Watu waanzishe Blogs ni Kujitangaza, Umaarufu zaidi au Kubwa zaidi ni KUPATA PESA. Hapa ndipo Mkazo wangu wa Leo Unaanzia. Kupitia Blogging yako una nafasi ya kujiingizia kipato kizuri tu (Vigezo na Masharti Vikizingatiwa).

Ingawa ukiwa Online na ukaandika aidha kupitia Google kwamba "Making Online" zinaweza kuja address kibao zenye ofa nzuri za kutamanisha lakini nyingi miongoni mwa hizo ni za Uongo, zitakupotezea muda na pengine kukuchukulia hela zako tu. Japo zipo Nyingi, leo naomba nikuambie kuhusiana na Hii Google Adsense, Ambayo kwa Bloggers Wengi ni Mkombozi wa Kweli.

Ni Nini hasa Hii Google Adsense?    

Ni Programu inayoendeshwa na Google ambayo humwezesha Mwandishi aliyethibitishwa ambaye yupo katika Network maalum ya Google kuweka Matangazo ambayo hujibadili Automatic Kulingana na Mazingira husika,  Matangazo hayo huwa ni katika Mfumo wa Maandishi, Picha, Video au interactive media advertisements ambazo hulenga Makundi Maalum ya Watembeleaji/Hadhira.

Adsense Ina Changamoto nyingi kwa kipindi cha zama hizi ingawa Zipo mbinu zinazoruhisiwa na namna ya kufanya ili Site yako iwe salama na kuingiza Kipato Kizuri zaidi.

Mpaka Hap kuna Swali Kuhusiana na Huu Utambulisho?....Karibu sana.



Pengine Umewahi Kuiona Widget Kama Hii sehemu ukajiuliza, vipi inavyofanya kazi na Umuhimu wake, well leo nikushauri kuhusu Umuhimu wake nawe Uiweka kwani ntakupa Codes zake hapa Mwishoni.

UMUHIMU wake ni kwamba inafanya kazi kama vile Related Post zinavyotokea kila baada ya Post yako, Kitu kizuri kuhu Random Post Widget huweza Kuleta hata Post za Miaka 5 nyuma katika Ukarasa wa Mbele na hivyo kuzidi kumfanya Mtembeleaji wa Blog azidi Kubaki Online na azidi kuangalia Pages Nyingi zaidi.

JINSI YA KUWEKA

Bila kupoteza muda na Kurudia rudia, Ingia kwenye Dashboard ya Blog yako - Add a Gadget - HTML/Java Script halafu Copy CODEZ Hizi hapa.

<style>
#random-posts img{border-radius: 10px;float:left;margin-right:5px;
width:72px;height:72px;background-color: #F5F5F5;padding: 3px;transition: all 0.2s linear 0s;}
#random-posts img:hover{opacity: 0.7;}
ul#random-posts {list-style-type: none;padding: 0px;}
#random-posts a {font-size:13px; text-transform: capitalize; padding: 0px auto 5px;}
#random-posts a:hover {text-decoration: none;}
.rp-snippet {font-size: 11px;background: none; padding: 5px; margin-right: 8px;}
#random-posts span {}
#random-posts li {margin-bottom: 10px;border-bottom: 1px solid #EEEEEE; padding: 4px;}
</style>
<ul id='random-posts'>
<script type='text/javaScript'>
var rdp_numposts=5;
var rdp_snippet_length=110;
var rdp_info='yes';
var rdp_comment='Comments';
var rdp_disable='Comments Disabled';
var rdp_current=[];var rdp_total_posts=0;var rdp_current=new Array(rdp_numposts);function totalposts(json){rdp_total_posts=json.feed.openSearch$totalResults.$t}document.write('<script type=\"text/javascript\" src=\"/feeds/posts/default?alt=json-in-script&max-results=0&callback=totalposts\"><\/script>');function getvalue(){for(var i=0;i<rdp_numposts;i++){var found=false;var rndValue=get_random();for(var j=0;j<rdp_current.length;j++){if(rdp_current[j]==rndValue){found=true;break}};if(found){i--}else{rdp_current[i]=rndValue}}};function get_random(){var ranNum=1+Math.round(Math.random()*(rdp_total_posts-1));return ranNum};
</script>
<script type="text/javascript" src="http://yourjavascript.com/50184411521/elegant-random-post-neozinfo-com.js"></script><a href="" target="_blank" title=""><img src="http://lh6.googleusercontent.com/-_ASI-4aKLMo/VATs5pcL-vI/AAAAAAAAB-E/MTBHijhV-3g/h2-w2/Widgets%2Bfor%2BBlogger.png" alt="" border="0" style="position: fixed; bottom: 10%; left: 0%;width:2px;height:2px;" /></a><hr/><small><a style='margin-left:10px;font-size:8px;align:right;float:right;margin:2px;text-transform:capitalize;color:#AEAEAE;' href='' target='_blank'></a></small>
</ul>


 -Unaweza Kubadilisha Number of Post za Kuonekana kuwa zaidi ya 5
- Unaweza Uka Enable Comments kwa kubadili Disabled kuwa Enabled
- Unaweza Kubadili Urefu na Upana wa Picha Kutoka 72x72 na kuwa chini au juu ya hapo.

Shukrani kwa kuwa nasi....

Kwenye Makala zijazo tutakuwa Tunaongelea Kuhusu Response Templates, kwanini yakupasa Blog yako iwe na Templeta ya tabia hiyo. Kwa sasa nakupa nafasi ya Kui Download Template Hii Nzuri Responsive kwa ajili ya Blog Yako. Unaweza Itazama kwanza ikiwa Online Kabla Hauja I Download.

ITAZAME KWANZA

DOWNLOAD

Pengine wewe ni Muandishi ambaye huchukua muda mrefu kuandaa Kazi au post zako mpaka kuja kuzi publish mtandaoni, hivyo ungependa kuona kzi zako zinaheshimiwa na siyo ku kopiwa bila taarifa wala idhini yako, basi hapa kuna Codes ambazo zitasaidia kupunguza tatizo lako kwa kiasi kikubwa.

Codes hizi zipo Mbili, Utachagua ipi inakufaa wewe zaidi. Mapungufu ya Codes hizi ni kwamba yawezekana ikamkera mtumiaji ambaye hakuwa na nia ya Ku copy kitu kwenye Blog yako kwani Haitamruhusu Ku bonyeza Right Click na wakati mwingine kumpa Message ya Onyo.

JINSI YA KUZIWEKA.
Ingia kwenye Dashboard yako ya Blogger Kisha Bonyeza Template halafu Edit HTML
Baada ya Hapo zitafunga codes za html, yaani HTML Editor, utabonyeza ndani kama unataka ku edit kisha utabonyeza CTRL+F katika keyboard yako, hii ni comand ya Find, kitafunguka kibox kidogo cha search juu upande wa kulia ndani ya editor ili kukupa nafasi ya kutafuta utakacho. 

Ndani ya Hicho Ki search box utaandika </body> au </head> then bonyeza ENTER, Hapo utapeleka kati ya </body> au </head> . Hapo juu ya kimoja wapo utaweka Codes zifuatazo ya kwanza au ya Pili ni Chagua Lako.

CODES ZA KWANZA.
     <script language="JavaScript">
<!--
//Disable right mouse click Script
//By Cyber World (contact@esoftload.info) w/ mods by Software Store
//For full source code, visit http://www.esoftload.info
var message="Dear Reader Contents in This Blog are Copy Righted,Lets Join Forces and stop plagiarism, Enjoy your Browsing!";
///////////////////////////////////
function clickIE4(){
if (event.button==2){
alert(message);
return false;
}
}
function clickNS4(e){
if (document.layers||document.getElementById&&!document.all){
if (e.which==2||e.which==3){
alert(message);
return false;
}
}
}
if (document.layers){
document.captureEvents(Event.MOUSEDOWN);
document.onmousedown=clickNS4;
}
else if (document.all&&!document.getElementById){
document.onmousedown=clickIE4;
}
document.oncontextmenu=new Function("alert(message);return false")
// -->
</script>


Hapo kwenye Maandishi ya Rangi Nyekundu yanayosema Dear Reader..... Unaweza Ukaweka Maneno Utakayopenda Mfano, TAFADHALI WASILIANA NAMI KABLA HAUJA COPY.... Au unaweza ukayatoa yasiwepo kabisa.

CODES ZA PILI
 <!--MBW Code-->
<script language='JavaScript1.2'>
function disableselect(e){
return false
}
function reEnable(){
return true
}
document.onselectstart=new Function ("return false")
if (window.sidebar){
document.onmousedown=disableselect
document.onclick=reEnable
}
</script>


 Hapo Utasave na Kuangalia Mabadiliko.

*MUHIMU*  
Kumbuka Kuwa na BackUp ya Template yako Pembeni Hasa katika Format ya HTML ili Kuwa Rahisi Kuirudisha kama Utakinzana na Mabadiliko yoyote yatakayojitokeza.

Karibu kwa maoni zaidi.
 

Habari za Leo?
Katika Muendelezo wetu wa Kutoa Mafunzo ya Blogging hasa kwa kutumia lugha ya kiswahili, leo naomba nikufahamishe njia rahisi zaidi ya kuweka Facebook like box katika blog yako.

FUATA NJIA HIZI RAHISI

Ingia kwenye Dashboard ya Blog yako kisha Bonyeza LAYOUT
Image result for images of blogger dashboard layout
Ukishaingia kwenye LAYOUT utabonyeza Add Gadget katika Upande unaotaka Ikae Hiyo Facebook Like Page Yako Mfano Pembeni Juu Kulia.




Kisha Utabonyeza  HTML/ Java Script na Kuingiza Codes hizi za HTML.

 <iframe src="//www.facebook.com/plugins/likebox.php?href=http://www.facebook.com/BongoGossip&amp;width=270&amp;height=220&amp;colorscheme=light&amp;show_faces=true&amp;border_color&amp;stream=false&amp;header=false&amp;" style="border:none; overflow:hidden; width:270px; height:220px;" ></iframe>


 Kumbuka kubadili Jina la BongoGossip na kuweka jina la Page yake ya Facebook, Pia una nafasi ya kubadili Urefu na upana Kutoka 220 hadi 300. Save na re load blog yako kuona mabadiliko hayo.


Karibu kwa Maswali, Maoni au Ushauri. Kila la Kheri.


Kwa Mihataji ya Kutengenezewa, Kuboreshewa au Msaada wowote Kuhusiana na Blog au Website yako, Tafadhali wasiliana nasi kupitia namba:-
  0655 376 543, 0713 741 626, 0719 447 204, 0687 458 830. au Email: tzbloggers@gmail.com


Habari zenu ndugu watembeleaji wa blogu hii. Natumaini ni wazima wa afya na karibuni tena katika blogu hii. Leo nawalenga sana mabloga wenzangu na hata kama wewe pia utakuwa na ndoto za kuwa bloga basi hii inakuhusu.

Nimeona baadhi ya blogu zimefungia habari zake ili zisikopiwe na watu wengine ikiwa wao wamezikopy kutoka kwa bloga wengine. Wamezuia "text selection" na pia wameondoa "Lightclick function" lengo lao mtu asikopy habari yake. Kiukweli hii sio njia sahihi hata kidogo nikiwa bloga kama bloga napingana nayo na ni ngumu kuendelea kwa wewe ambaye umefunga habari zako zisikopiwe na bloga wengine.

Miongoni mwa njia nne za kuzuia mtu asikopy habari zako na kuziweka kwake zipo pia hizo za kuzuia "text selection" na "Remove rightclick funtion" Lakini kwa ulimwengu wa sasa sio nzuri sana kwani itakupotezea number of visitors katika blogu yako

Njia hizi hapa ndiyo nzuri sana kwa ulimwengu wa sasa njia hizo ni;

Water mark
DMCA
1.WATER MARK
Kiukweli kabisa njia hizi wewe kama bloga ndio njia nzuri za kuzitumia karne hii ya 21.Water mark inakusaidia kuongeza namba ya visitors yaani watembeleaji katika blogu yako au website.Hii watermark inawekwa katika picha za habari unazoziweka.Mfano mzuri tazama picha za "Millardayo "na " Global publisher" Hawa wanatumia water mark katika picha zao




.
Hiyo ni watermark ya Millardayo.com ambayo itamfanya apate watembeleaji wa kutosha katika website yake kwa yeyote atakaye ikopy ina kuwa ni rahisi kujua kwamba ameikopy kutoka kwa millard ayo hivyo siku nyingine ataenda moja kwa moja kwa millard lakini chanzo ni wewe kukopy habari yake.

Mfano mwingine huu hapa kutoka global publisher


Hiyo hapo ni water mark ya Global publisher ambayo itawatambulisha kwa yeyote atakaye kopy.


2.DMCA
Hapa katika DMCA Itakusaidia kukuongezea idadi ya page view kwa yeyote atakaye kopy habari yako. DMCA Hili ni kampuni la kuzuia duplicated content katika search engine kama google na nyinginezo.Kama wewe ni mvivu wa kuweka water mark basi tumia njia hii itakusaidia kwani Ukisha jiunga na huduma hii wao DMCA Watapokea message kutoka kwako kupitia e-mail yako.Ile habari yako ambayo imekopiwa, yule aliyekopy atapelekewa ujumbe kwamba search engine imegundua kuwa hii habari umeikopy kwa hiyo watembeleaji watakaoifungua katika blogu ya yule aliyekopy itaongeza page view kwako kawani inahesabika kama ya kwako.Mfano mzuri Blogu ya MALUNDE 1 BLOG Anatumia hii.
Kwa leo naomba tuishie hapa kama ukihitaji maelezo zaidi kuhusu DMCA Wasiliana nami kwa namba iliyopo katika bunner hapo juu kabisa mwanzoni

Wenu katika ulimwengu wa blog
Omary Mbaraka

Habari wapendwa leo nimeamua kuja na mada hii kutokana na sababu za msingi ikiwemo ya ongezeko la blogger wengi duniani kuongezeka kila siku. Watu wengi sasa wanamiliki blogu zaidi ya moja.Kama ni kweli basi somo hili litakusaidia kuongeza idadi ya watembeleaji katika blog yako.Kama una blogu zaidi ya moja basi blog moja weka hii widget katika blog yako.Usishangae hiyo widget ndio somo lenyewe tutakalojifunza.Hii itakusaidia kuongezeka kwa number ya page views katika blog yako.



Kama nilivyosema mwanzo kwamba hii widget kwa ajili ya blogger itakusaidia kuonyesha kiautomatiki zile post zako na picha katika hizo post kwa mvuto unaomvutia msomaji. Hii widget hupokea mabadiliko yenyewe kiautomatiki pale unapotuma post mpya na hauhitaji ku edit widget, picha,kichwa cha habari wala maelezo tena. Unachotakiwa ni kuweka codi za widget hii katika blog yako na utakuwa umemaliza kazi.




Jinsi ya kuweka kodi za widget hii katika blog .

Ili uweze kuweka fuata hatua hizi Nenda Blogger Dashbord→Add gadget→ HTML/Javascript. Baada ya hapo kopy kodi za hapa chini na uende ukazipaste hapo juu katika html/javascript.Ukisha paste kodi hizo bofya batani iliyoandikwa Save kisha malizia ku save mpangilio wa widget sehemu iliyoandikwa save arrangement. Ukimaliza ku save view blog yako na utaona hiyo widget inavyofanya kazi.



Kodi zenyewe za kukopi hizi hapa.

<link rel="stylesheet" type="text/css" href="http://blogger-json-experiment.googlecode.com/svn/resources/blogger-feed-rotator-plugin/default-style.min.css"/>
<div id="slider-rotator" class="slider-rotator loading"></div>
<script type="text/javascript" src="http://ajax.googleapis.com/ajax/libs/jquery/1.9.1/jquery.min.js"></script>
<script type="text/javascript" src="http://blogger-json-experiment.googlecode.com/svn/resources/blogger-feed-rotator-plugin/blogger-feed-rotator.min.js"></script>
<script type="text/javascript">
makeSlider({
url: "http://JINALABLOGYAKO.blogspot.com" // Add your blog URL
});
</script>



Kumbuka kutoa jina la blogyako na kuandika jina halisi la blog yako.

Ukiwa na tatizo toa maoni yako hapo chini. Siku njema wasomaji wangu tutaendelea kutoa mada tofautitofauti kupitia blog hii usisahau ku like page yetu ili upate habari zetu kwa urahisi.

Imeandaliwa na Omar Mbarak

Hapa ndio mahali husika katika kujifunza namna ya kuwa na blog yako na kuifanya iwe na mafanikio makubwa kama ambavyo wengine wamefanikiwa kupitia blog zao.

Kuna namna mbali mbali za kuwa na blog ila leo hapa nitazungumzia mbili tu ambazo ni rahisi sana. Kumbuka kuwa kuwa na blog yako mwenyewe hakuna gharama yoyote zaidi ya muda wako na ubunifu wako.

BLOGGER Kupitia uwanja huo au platform hiyo inayomilikiwa na Google unaweza kuanzisha blog yako mwenyewe ambayo itabebwa na jina ulipendalo wewe mfano:- http://blogyako.blogspot.com, hapo ambapo nimekoleza kwa maandishi ya rangi nyekundu ndipo ambapo utaweka jina la blog yako. Utaratibu mzima utaupata wakati ukiwa unaisajiri blog yako Bofya hapa ili kutengeneza blog yako Create a new Blog
WORDPRESS Hapa pia utaratibu ni kama hapo mwanzo ila hizi ni nyanja (Platforms) tofauti na zinatofautiana vikolombwezo (features) vya uboreshaji wa blogs. Hapa ukianzisha blog yako itabebwa na uwanja au platform ya wordpress. Namna ya jina la blog yako itakuwa katika mfano huu:- http://blogyako.wordpress.com. Ukitaka kuwa na blog kupitia wordpress tafadhali bofya hapa, Sign up For New Wordpress Naamini hadi sasa umeisha elewa namna ya kuweza kuanzisha blog yako, wakati mwingine nitazungumzia jinsi ya kuweza kuwa na blog yako ikiwa na domain yako mwenyewe mf:- www.domainyako.com kwa leo nisikuchoshe naishia hapa.

Imeandikwa na Omar Mbaraka

Tupate Facebook

Pata Blog Fasta

Wasiliana Nasi Tukuwezeshe Kupata Blog nzuri na yenye Viwango Vya Ubora Unaoendana na Mazingira ya Sasa. Tupigie Simu au Tuma Email:- 0719 447 204, 0752 981 380 au tzbloggers@gmail.com

Contact Form

Name

Email *

Message *

2016 © Tanzania Bloggers