Njia Rahisi Zaidi ya Kuweka Related Post kwa kutumia Linkwithin na Outbrain



Bila shaka ungependa Watembeleaji wazidi kubaki katika Blog kwa kuwa wanavutiwa na kile wanachokiona, Yes, kwa Blogger mpya inawezekana ikawa ni ngumu kwako kuanza kuifumua Template yako na Kuanza Kuedit Codes za HTML kwa ndani hasa Mwanzoni. Hilo lisikuvunje moyo kwani Mbele ya Safari Utaweza Kuyafanya haya yote na zaidi kwa kutumia Editing ya hizo hizo HTML Codes.


Kwa sasa Nakusogezea Njia Rahisi zaidi ya Kuwa na Related Posts chini ya Post zako, aidha kwa ndani au nje kwenye Ukurasa wa kwanza. Ukijiunga na Kujisajili na Sites Hizi Automatically watakuwekea Widget yao katika Dashboard yako ya Blogger Hivyo kuwa Rahisi kwako kwani Related Posts zitakuwa zikijionesha zenyewe kwa Urahisi na Hivyo kuwafanya Watembeleaji wako wazidi kubaki.

Jiunge na Website Zifuatazo ili Iwe rahisi kupata Related Posts Widget katika Blog Yako:-

1. Link Within
Hii ni ya muda mrefu kidogo lakini ni nyepesi zaidi na inafanya kazi nzuri tu mpaka leo, ingawa kuna malalamiko ya kusababisha site kuwa nzito kidogo kwani Related Post servers zinabaki kwao hivyo huchukua sekunde 3 hadi 7 kwa Post kuwa Related maana inabidi servers ziwe consulted.








linkwithin form

 Hapa Utapelekwa Kwenye Ukurasa wa Kuchagua Blog gani unahitaji iwe na hii widget, chagua blog unayoitaka ikiwa zipo zaidi ya moja.

 install widget

select blog
 Hatimaye, Block jipya litaundwa kwenye Layout ya Dash Board yako, Ichukue/Ibebe Mpaka Chini Kabisa, waweza ibadili Jina na Kisha Ukaisave. Itachukua Muda Kidogo Lakini Itakuwa Tayari na Ingawa Mwanzoni huanza kuonesha Top Popular Post lakini baadae huleta related posts hata za miaka 5 iliyopita.

 drag under posts


2. Out Brain
Ukishatua katika Ukarasa wao, utapata Option ya Kuchagua Hizo stories zako zionekane kwa mfumo gani, wa maandishi tu au wa maandishi na picha?
text or thumbnail
Baada ya hapo itakubidi Uchague Platform ya Blog kama kwenye Linkwithin..
choose platform










Baada ya Hapo Utajaza Details zako kwenye Form ya hapo chini kisha utabonyeza INSTALL

 complete registration
















Hakikisha ukiwa unafanya haya yote huku ukiwa Ume Log in kwenye akaunti yako ya Blogger ili kitapokuja ki Pop Out box uendelee kwenye Blogger Dashboard kirahisi. Hapa pia utachagua Blog unayopenda iwe na hii widget kama zipo nyingi na kisha utabonyeza ADD WIDGET 



add outbrain widget


 Utakapomaliza Uta save na kusubiri dakika au masaa kadhaa ili ianze kufanya kazi kwa ufanisi, kumbuka kuishusha chini pia.




 save outbrain arrangement



Kwa sasa niishie hapa, karibu kwa maoni na Ushauri














 




Tupate Facebook

Pata Blog Fasta

Wasiliana Nasi Tukuwezeshe Kupata Blog nzuri na yenye Viwango Vya Ubora Unaoendana na Mazingira ya Sasa. Tupigie Simu au Tuma Email:- 0719 447 204, 0752 981 380 au tzbloggers@gmail.com

Contact Form

Name

Email *

Message *

2016 © Tanzania Bloggers