Najua Kwa Kiswahili hicho tumekilazimisha lakini hizi Sticky Widgets huwezesha mtu kuweka Codes za Adsense au Matangazo mengine na yakawa yanashuka kila unaposhusha na kupanda kila unapopandisha Page, kwa maana nyingine yatabaki kuonekana Labda Mtembeleaji Ayafunge.

JINSI YA KUYAWEKA

Hapa Nimekuwekea Codes Rahisi sana ambazo Utaziingiza kwenye Dashboard yako-Add a Gadget na Kisha HTML/Javascript. Cha Muhimu ni kuhakikisha Unabadilisha Codes Hizo za Rangi ya Kijani kwa HTML code za Adsense au Matangazo yako Mengine. Codes ni Hizi hapa:-

<!-- FOOTER ADS -->
<script src='http://ajax.googleapis.com/ajax/libs/jquery/1.4.2/jquery.min.js' type='text/javascript'>
</script><br />
<script type='text/javascript'>
$(document).ready(function() {
$('img#closed').click(function(){
$('#btm_banner').hide(90);
});
});
</script>
<style type='text/css'>
div#btm_banner {
bottom: 0;
position: fixed;
width: 100%;
opacity: 0.9;
left: 0;
}
div#btm_banner img{
border:0;
cursor:pointer;
}
</style>
<div style='height: 0px;'></div>
<div align='center' id='btm_banner' style='height: 67px; z-index: 9999;'>
<div style='text-align: right; width: 983px; height: 15px;'>
</div>
<div style='clear: both;'></div>
<p>
<p><center>
<!-- ADVERTISING CODE -->


<script async src="//pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js"></script>
<!-- new banner -->
<ins class="adsbygoogle"
     style="display:inline-block;width:468px;height:60px"
     data-ad-client="ca-pub-8545998126994274"
     data-ad-slot="5648598542"></ins>
<script>
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
</script>


<!-- ADVERTISING CODE -->
</center></p>
</p>
</div>
<!-- FOOTER ADS -->






Bila shaka ungependa Watembeleaji wazidi kubaki katika Blog kwa kuwa wanavutiwa na kile wanachokiona, Yes, kwa Blogger mpya inawezekana ikawa ni ngumu kwako kuanza kuifumua Template yako na Kuanza Kuedit Codes za HTML kwa ndani hasa Mwanzoni. Hilo lisikuvunje moyo kwani Mbele ya Safari Utaweza Kuyafanya haya yote na zaidi kwa kutumia Editing ya hizo hizo HTML Codes.


Kwa sasa Nakusogezea Njia Rahisi zaidi ya Kuwa na Related Posts chini ya Post zako, aidha kwa ndani au nje kwenye Ukurasa wa kwanza. Ukijiunga na Kujisajili na Sites Hizi Automatically watakuwekea Widget yao katika Dashboard yako ya Blogger Hivyo kuwa Rahisi kwako kwani Related Posts zitakuwa zikijionesha zenyewe kwa Urahisi na Hivyo kuwafanya Watembeleaji wako wazidi kubaki.

Jiunge na Website Zifuatazo ili Iwe rahisi kupata Related Posts Widget katika Blog Yako:-

1. Link Within
Hii ni ya muda mrefu kidogo lakini ni nyepesi zaidi na inafanya kazi nzuri tu mpaka leo, ingawa kuna malalamiko ya kusababisha site kuwa nzito kidogo kwani Related Post servers zinabaki kwao hivyo huchukua sekunde 3 hadi 7 kwa Post kuwa Related maana inabidi servers ziwe consulted.








linkwithin form

 Hapa Utapelekwa Kwenye Ukurasa wa Kuchagua Blog gani unahitaji iwe na hii widget, chagua blog unayoitaka ikiwa zipo zaidi ya moja.

 install widget

select blog
 Hatimaye, Block jipya litaundwa kwenye Layout ya Dash Board yako, Ichukue/Ibebe Mpaka Chini Kabisa, waweza ibadili Jina na Kisha Ukaisave. Itachukua Muda Kidogo Lakini Itakuwa Tayari na Ingawa Mwanzoni huanza kuonesha Top Popular Post lakini baadae huleta related posts hata za miaka 5 iliyopita.

 drag under posts


2. Out Brain
Ukishatua katika Ukarasa wao, utapata Option ya Kuchagua Hizo stories zako zionekane kwa mfumo gani, wa maandishi tu au wa maandishi na picha?
text or thumbnail
Baada ya hapo itakubidi Uchague Platform ya Blog kama kwenye Linkwithin..
choose platform










Baada ya Hapo Utajaza Details zako kwenye Form ya hapo chini kisha utabonyeza INSTALL

 complete registration
















Hakikisha ukiwa unafanya haya yote huku ukiwa Ume Log in kwenye akaunti yako ya Blogger ili kitapokuja ki Pop Out box uendelee kwenye Blogger Dashboard kirahisi. Hapa pia utachagua Blog unayopenda iwe na hii widget kama zipo nyingi na kisha utabonyeza ADD WIDGET 



add outbrain widget


 Utakapomaliza Uta save na kusubiri dakika au masaa kadhaa ili ianze kufanya kazi kwa ufanisi, kumbuka kuishusha chini pia.




 save outbrain arrangement



Kwa sasa niishie hapa, karibu kwa maoni na Ushauri














 





Miongoni mwa Widget ya Muhimu kuwa nayo kwenye Blog yako nii ya Page Numbers, Hii humfanya Anayetembelea kuamua ni Page gani hasa Anahitaji kuangalia kiurahisi na pia kuzidi kubaki katika Blog yako.

Hapa chini nimekuwekea CODES Mbili za kuweka, Upendavyo aidha utatumia Code ya Kwanza Au ya Pili.

JINSI YA KUWEKA
Jinsi ya Kuweka ni Rahisi, Utaingia kwenye Dashboard yako, Utaingia Layout Kisha Uta Add a Gadget Then Uta Add HTML/Javascript ambayo ndani uta paste Codes miongoni mwa hizo mbili, Usiipe jina lolote na Ukiiweka kwa chini itakuwa Vizuri zaidi.

CODES ZA KWANZA

<style type='text/css'>
#blog-pager{height: 28px;
    padding: 10px 0 0;
overflow:hidden;
text-align:center;
}
.showpageArea a {text-decoration:underline;
font-size: 16px;
       text-align: center;}
.showpageNum a {font-size:16px;text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;margin:0 5px;padding:5px;}
.showpageNum a:hover {border: 1px solid #cccccc;background-color:#cccccc;}

.showpagePoint {font-size:16px;text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;background: #216FD9;margin:0 5px;padding:5px;color:#ffffff;}

.showpageOf {text-decoration:none;padding:5px;margin: 0 5px;}
.showpage a {text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;padding:5px;}
.showpage a:hover {text-decoration:none;background: #cccccc;}
.showpageNum a:link,.showpage a:link {text-decoration:none;color:#333333;}</style>
<script style='text/javascript'>var pageCount=7;
var displayPageNum=5;var upPageWord="Previous";var downPageWord="Next";</script><a href="http://www.netoopsblog.com" style="font-size:0pt">Blogger Widgets</a>
<script style='text/javascript' src='http://netoopscodes.googlecode.com/svn/netoops-page-nav-v2.js'></script> 


CODES ZA PILI 
 <style type='text/css'>
#blog-pager{height: 28px;
    padding: 10px 0 0;
overflow:hidden;
text-align:center;
}
.showpageArea a {text-decoration:underline;
font-size: 16px;
       text-align: center;}
.showpageNum a {font-size:16px;text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;margin:0 5px;padding:5px;}
.showpageNum a:hover {border: 1px solid #cccccc;background-color:#cccccc;}

.showpagePoint {font-size:16px;text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;background: #216FD9;margin:0 5px;padding:5px;color:#ffffff;}

.showpageOf {text-decoration:none;padding:5px;margin: 0 5px;}
.showpage a {text-decoration:none;border: 1px solid #cccccc;padding:5px;}
.showpage a:hover {text-decoration:none;background: #cccccc;}
.showpageNum a:link,.showpage a:link {text-decoration:none;color:#333333;}</style>
<script style='text/javascript'>var pageCount=7;
var displayPageNum=5;var upPageWord="Previous";var downPageWord="Next";</script><a href="http://www.netoopsblog.com" style="font-size:0pt">Blogger Widgets</a>
<script style='text/javascript' src='http://netoopscodes.googlecode.com/svn/netoops-page-nav-v2.js'></script>


Uta Save na Ku angalia Changes.... Kila la Heri. 

Blogging imeanza kuwa kimbilio ya vijana wengi wa kizazi kipya baada ya kugundua Fursa hii ambapo kuna uwezekano mkubwa wa Mtu kujiendeshea Maisha kwa kupitia Hili. Miaka ya nyuma hili halikufikirika kwa Tanzania yetu, ila kwa nchi za wenzetu hasa Ulaya na Africa Magharibi waliliona hili Kitambo.

Miongoni mwa sababu kubwa inayowapelea Watu waanzishe Blogs ni Kujitangaza, Umaarufu zaidi au Kubwa zaidi ni KUPATA PESA. Hapa ndipo Mkazo wangu wa Leo Unaanzia. Kupitia Blogging yako una nafasi ya kujiingizia kipato kizuri tu (Vigezo na Masharti Vikizingatiwa).

Ingawa ukiwa Online na ukaandika aidha kupitia Google kwamba "Making Online" zinaweza kuja address kibao zenye ofa nzuri za kutamanisha lakini nyingi miongoni mwa hizo ni za Uongo, zitakupotezea muda na pengine kukuchukulia hela zako tu. Japo zipo Nyingi, leo naomba nikuambie kuhusiana na Hii Google Adsense, Ambayo kwa Bloggers Wengi ni Mkombozi wa Kweli.

Ni Nini hasa Hii Google Adsense?    

Ni Programu inayoendeshwa na Google ambayo humwezesha Mwandishi aliyethibitishwa ambaye yupo katika Network maalum ya Google kuweka Matangazo ambayo hujibadili Automatic Kulingana na Mazingira husika,  Matangazo hayo huwa ni katika Mfumo wa Maandishi, Picha, Video au interactive media advertisements ambazo hulenga Makundi Maalum ya Watembeleaji/Hadhira.

Adsense Ina Changamoto nyingi kwa kipindi cha zama hizi ingawa Zipo mbinu zinazoruhisiwa na namna ya kufanya ili Site yako iwe salama na kuingiza Kipato Kizuri zaidi.

Mpaka Hap kuna Swali Kuhusiana na Huu Utambulisho?....Karibu sana.



Pengine Umewahi Kuiona Widget Kama Hii sehemu ukajiuliza, vipi inavyofanya kazi na Umuhimu wake, well leo nikushauri kuhusu Umuhimu wake nawe Uiweka kwani ntakupa Codes zake hapa Mwishoni.

UMUHIMU wake ni kwamba inafanya kazi kama vile Related Post zinavyotokea kila baada ya Post yako, Kitu kizuri kuhu Random Post Widget huweza Kuleta hata Post za Miaka 5 nyuma katika Ukarasa wa Mbele na hivyo kuzidi kumfanya Mtembeleaji wa Blog azidi Kubaki Online na azidi kuangalia Pages Nyingi zaidi.

JINSI YA KUWEKA

Bila kupoteza muda na Kurudia rudia, Ingia kwenye Dashboard ya Blog yako - Add a Gadget - HTML/Java Script halafu Copy CODEZ Hizi hapa.

<style>
#random-posts img{border-radius: 10px;float:left;margin-right:5px;
width:72px;height:72px;background-color: #F5F5F5;padding: 3px;transition: all 0.2s linear 0s;}
#random-posts img:hover{opacity: 0.7;}
ul#random-posts {list-style-type: none;padding: 0px;}
#random-posts a {font-size:13px; text-transform: capitalize; padding: 0px auto 5px;}
#random-posts a:hover {text-decoration: none;}
.rp-snippet {font-size: 11px;background: none; padding: 5px; margin-right: 8px;}
#random-posts span {}
#random-posts li {margin-bottom: 10px;border-bottom: 1px solid #EEEEEE; padding: 4px;}
</style>
<ul id='random-posts'>
<script type='text/javaScript'>
var rdp_numposts=5;
var rdp_snippet_length=110;
var rdp_info='yes';
var rdp_comment='Comments';
var rdp_disable='Comments Disabled';
var rdp_current=[];var rdp_total_posts=0;var rdp_current=new Array(rdp_numposts);function totalposts(json){rdp_total_posts=json.feed.openSearch$totalResults.$t}document.write('<script type=\"text/javascript\" src=\"/feeds/posts/default?alt=json-in-script&max-results=0&callback=totalposts\"><\/script>');function getvalue(){for(var i=0;i<rdp_numposts;i++){var found=false;var rndValue=get_random();for(var j=0;j<rdp_current.length;j++){if(rdp_current[j]==rndValue){found=true;break}};if(found){i--}else{rdp_current[i]=rndValue}}};function get_random(){var ranNum=1+Math.round(Math.random()*(rdp_total_posts-1));return ranNum};
</script>
<script type="text/javascript" src="http://yourjavascript.com/50184411521/elegant-random-post-neozinfo-com.js"></script><a href="" target="_blank" title=""><img src="http://lh6.googleusercontent.com/-_ASI-4aKLMo/VATs5pcL-vI/AAAAAAAAB-E/MTBHijhV-3g/h2-w2/Widgets%2Bfor%2BBlogger.png" alt="" border="0" style="position: fixed; bottom: 10%; left: 0%;width:2px;height:2px;" /></a><hr/><small><a style='margin-left:10px;font-size:8px;align:right;float:right;margin:2px;text-transform:capitalize;color:#AEAEAE;' href='' target='_blank'></a></small>
</ul>


 -Unaweza Kubadilisha Number of Post za Kuonekana kuwa zaidi ya 5
- Unaweza Uka Enable Comments kwa kubadili Disabled kuwa Enabled
- Unaweza Kubadili Urefu na Upana wa Picha Kutoka 72x72 na kuwa chini au juu ya hapo.

Shukrani kwa kuwa nasi....

Kwenye Makala zijazo tutakuwa Tunaongelea Kuhusu Response Templates, kwanini yakupasa Blog yako iwe na Templeta ya tabia hiyo. Kwa sasa nakupa nafasi ya Kui Download Template Hii Nzuri Responsive kwa ajili ya Blog Yako. Unaweza Itazama kwanza ikiwa Online Kabla Hauja I Download.

ITAZAME KWANZA

DOWNLOAD

Pengine wewe ni Muandishi ambaye huchukua muda mrefu kuandaa Kazi au post zako mpaka kuja kuzi publish mtandaoni, hivyo ungependa kuona kzi zako zinaheshimiwa na siyo ku kopiwa bila taarifa wala idhini yako, basi hapa kuna Codes ambazo zitasaidia kupunguza tatizo lako kwa kiasi kikubwa.

Codes hizi zipo Mbili, Utachagua ipi inakufaa wewe zaidi. Mapungufu ya Codes hizi ni kwamba yawezekana ikamkera mtumiaji ambaye hakuwa na nia ya Ku copy kitu kwenye Blog yako kwani Haitamruhusu Ku bonyeza Right Click na wakati mwingine kumpa Message ya Onyo.

JINSI YA KUZIWEKA.
Ingia kwenye Dashboard yako ya Blogger Kisha Bonyeza Template halafu Edit HTML
Baada ya Hapo zitafunga codes za html, yaani HTML Editor, utabonyeza ndani kama unataka ku edit kisha utabonyeza CTRL+F katika keyboard yako, hii ni comand ya Find, kitafunguka kibox kidogo cha search juu upande wa kulia ndani ya editor ili kukupa nafasi ya kutafuta utakacho. 

Ndani ya Hicho Ki search box utaandika </body> au </head> then bonyeza ENTER, Hapo utapeleka kati ya </body> au </head> . Hapo juu ya kimoja wapo utaweka Codes zifuatazo ya kwanza au ya Pili ni Chagua Lako.

CODES ZA KWANZA.
     <script language="JavaScript">
<!--
//Disable right mouse click Script
//By Cyber World (contact@esoftload.info) w/ mods by Software Store
//For full source code, visit http://www.esoftload.info
var message="Dear Reader Contents in This Blog are Copy Righted,Lets Join Forces and stop plagiarism, Enjoy your Browsing!";
///////////////////////////////////
function clickIE4(){
if (event.button==2){
alert(message);
return false;
}
}
function clickNS4(e){
if (document.layers||document.getElementById&&!document.all){
if (e.which==2||e.which==3){
alert(message);
return false;
}
}
}
if (document.layers){
document.captureEvents(Event.MOUSEDOWN);
document.onmousedown=clickNS4;
}
else if (document.all&&!document.getElementById){
document.onmousedown=clickIE4;
}
document.oncontextmenu=new Function("alert(message);return false")
// -->
</script>


Hapo kwenye Maandishi ya Rangi Nyekundu yanayosema Dear Reader..... Unaweza Ukaweka Maneno Utakayopenda Mfano, TAFADHALI WASILIANA NAMI KABLA HAUJA COPY.... Au unaweza ukayatoa yasiwepo kabisa.

CODES ZA PILI
 <!--MBW Code-->
<script language='JavaScript1.2'>
function disableselect(e){
return false
}
function reEnable(){
return true
}
document.onselectstart=new Function ("return false")
if (window.sidebar){
document.onmousedown=disableselect
document.onclick=reEnable
}
</script>


 Hapo Utasave na Kuangalia Mabadiliko.

*MUHIMU*  
Kumbuka Kuwa na BackUp ya Template yako Pembeni Hasa katika Format ya HTML ili Kuwa Rahisi Kuirudisha kama Utakinzana na Mabadiliko yoyote yatakayojitokeza.

Karibu kwa maoni zaidi.
 

Habari za Leo?
Katika Muendelezo wetu wa Kutoa Mafunzo ya Blogging hasa kwa kutumia lugha ya kiswahili, leo naomba nikufahamishe njia rahisi zaidi ya kuweka Facebook like box katika blog yako.

FUATA NJIA HIZI RAHISI

Ingia kwenye Dashboard ya Blog yako kisha Bonyeza LAYOUT
Image result for images of blogger dashboard layout
Ukishaingia kwenye LAYOUT utabonyeza Add Gadget katika Upande unaotaka Ikae Hiyo Facebook Like Page Yako Mfano Pembeni Juu Kulia.




Kisha Utabonyeza  HTML/ Java Script na Kuingiza Codes hizi za HTML.

 <iframe src="//www.facebook.com/plugins/likebox.php?href=http://www.facebook.com/BongoGossip&amp;width=270&amp;height=220&amp;colorscheme=light&amp;show_faces=true&amp;border_color&amp;stream=false&amp;header=false&amp;" style="border:none; overflow:hidden; width:270px; height:220px;" ></iframe>


 Kumbuka kubadili Jina la BongoGossip na kuweka jina la Page yake ya Facebook, Pia una nafasi ya kubadili Urefu na upana Kutoka 220 hadi 300. Save na re load blog yako kuona mabadiliko hayo.


Karibu kwa Maswali, Maoni au Ushauri. Kila la Kheri.

Tupate Facebook

Pata Blog Fasta

Wasiliana Nasi Tukuwezeshe Kupata Blog nzuri na yenye Viwango Vya Ubora Unaoendana na Mazingira ya Sasa. Tupigie Simu au Tuma Email:- 0719 447 204, 0752 981 380 au tzbloggers@gmail.com

Contact Form

Name

Email *

Message *

2016 © Tanzania Bloggers